Wednesday, July 16, 2014

RACHEL: SITOKI NA TID JAMANI MIMI BADO SINGLE.


MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat maarufu kama Rachel, amekanusha uvumi kuwa anatoka kimapenzi na mkongwe wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’.


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat maarufu kama Rachel,Rachel ambaye ni zao la

Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), aliyetamba na kibao chake cha Kizunguzungu, alisema maneno hayo siyo mageni kwake, lakini ukweli ni kwamba hawana uhusiano wa kimapenzi, isipokuwa amemuweka katika mipango ya kuja kufanya kazi na mkali huyo wa singo iliyotamba sana ya Zeze.

Mkongwe wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’.

Aidha alisema katika maisha yake ya kila siku, hategemei kuhongwa vitu au hela na wanaume, ila baada ya kupata mafanikio kupitia sanaa, anaitumia kama mtaji wa kufanya shughuli nyingine za kumuingizia kipato na hivyo kuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yake.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

Isome na Hii

Njemba yakojoleshwa Live Ukumbini na Jimama la Khanga moko, Picha za tukio hizi hapa.

 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top