Onyo Dent ni Dent haijalishi wa Kidato gani.
Friday, July 4, 2014
Browse » Home »
ufuska
» Mme wa mtu achapwa fimbo hadharani baada ya kufumwa akimla denda Dent wa shule..
Mme wa mtu achapwa fimbo hadharani baada ya kufumwa akimla denda Dent wa shule..
Hii imetokea Juzi baada ya Jibaba huyo anayejishugulisha na unyoaji nywele kwenye Barber Shop moja maeneo ya Sinza jijini Dar.
Inadaiwa Vijana na akimama waliopanga Fremu za jirani baada ya kumwonaa walisema waatamfundishe adabu ndipo wakaita watu ambapo mme huyo aliomba msamaha lakini alilazimika kuchapwa fimbo 3 matakoni la sivyo mambo yangeelezwa kwa mkeo na polisi ndipo jamaa akakubali kuchapwa.
Onyo Dent ni Dent haijalishi wa Kidato gani.
Onyo Dent ni Dent haijalishi wa Kidato gani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment