Wednesday, July 16, 2014

MBRAZIL MWINGINE WA YANGA AANZA MAZOEZI YA NGUVU.


Wabrazil, Andrey Coutinho na Jaja (nyuma yake) wakijifua na wachezaji wenzao wa Yanga.

Jaja akiwa mbele ya wachezaji wenzake.<


Ilifikia wakati wa kuzunguka uwanja.

Mazoezi yakiendelea.

Jaja ‘akiyasikilizia’ maji ya Bongo.

 …Akiendelea kujifua.

Maximo akihakikisha mazoezi yanafanywa vilivyo.

TIMU ya Yanga leo iliendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola jijini Dar es Salaam chini ya Kocha, Marcio Maximo, ambapo mshambuliaji mwingine wa Kibrazil, aliyekuja kukipiga kwenye kikosi hicho, Genilson Santana Santos 'Jaja',  naye aliungana na kikosi hicho kujifua. Jaja alionesha nidhamu ya mazoezi kwenye kikosi hicho hasa pale alipokuwa akiendelea kujifua peke yake wakati wenzake wakiwa kwenye mapumziko.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top