Mmoja ya Kiungo cha Mguu kikiwa kinaonekana usiku huu

Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa

Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo

Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.
Endelea kufuatilia hapa.
PICHA ZOTE NA DAR ES SALAAM YETU BLOG
CHANZO: DAR ES SALAAM YETU BLOG
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment