Wednesday, July 2, 2014

Lori laziba Njia Maeneo ya Nyororo Iringa baada ya kupata Ajali na Kusababisha Foleni Kubwa Mda Huu;

 Lori likiwa limeziba Njia
  Abiria wakiwa wanaendelea kutafuta njia mbadala

 Magari yameanza kupita porini baada ya kushindikana kutolewa kwa Lori hilo lililoziba Barabara
Njia Mbadala ambayo magari madogo yameanza Pita.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top