Monday, July 21, 2014

DUDE NJIA PANDA; CHADEMA, CCM WAMGOMBEA.

 VITA! Baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge, staa wa sinema Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amesema anapata wakati mgumu kwa kuwa vyama vikubwa vya siasa vinamgombea.


Staa wa sinema Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Dude alisema kuwa awali alikuwa agombee kupitia Chadema, lakini baadaye CCM nao kupitia kiongozi mmoja mwenye wadhifa mkubwa serikalini alimtaka agombee kupitia tiketi ya chama hicho, jambo linalomfanya abaki njia panda.

“Nipo njia panda maana Chadema wamenipa jimbo la kugombea huku kwa upande mwingine CCM nao wamenitaka nigombee kupitia chama chao yaani kwa sasa sijui cha kufanya kabisa,” alisema Dude.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

STAA WA FILAMU ANASWA USIKU NA MKE WA MTU WAKINANILIIHIII!

 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top