Monday, June 16, 2014

@WANAUME TU:TUACHE UKATILI KWA WANAWAKE.

UKIMCHOKA MWANAMKE MWACHE AENDE ZAKE USI MTUMIE NA KUMFANYA KAMA SIO KIUMBE HAI KWA KIGEZO CHA MAPENZI.HAWA SIO MIDORI KUWA UKICHOKA KUUCHEZEA UNAUTUPA.PIA UJUE HUYO UNAYE MCHEEZEA LEO NDO MKE WA MWEZIO KESHO NA SHERA NDO LIPO KWA FUNDI KAAZA KUKATA KITAMBAA.
RESPECT TO WOMEN DON'T RAPE,KILL,ABUSE,OR DO ANY RELATED VIOLENCE.


Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top