Marehemu kama vile kalala kumbe ndiyo kafariki.Mmoja wa mashuhuda wa tukio.Mtendaji wa eneo hilo na baadhi ya Wasamaria wakiufunika mwili wa marehemu.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio.
KIJANA mmoja wa kiume aliyedaiwa kuwa ni mfanyabiashara ndogondogo amekutwa amefariki katika kituo cha mabasi yaendayo kasi Manzese, jijini Dar, leo asubuhi.
Inasemekana vijana wengi huwa wana tabia ya kulala ndani ya vituo hivyo kwa hiyo watu iliwachukua muda mrefu kubaini kama amefariki.
Kwa mujibu wa mtendaji wa serikali wa Kata ya Midizini-Manzese, Penford Kizo, wa eneo hilo na mashuhuda wengine, kifo cha kijana huyo hakijafahamika kimesababishwa na nini.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment