Baadhi ya wajumbe wa UVCCM kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Morogoro wakiwa na mabango ya kumkataa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Herieth Sutta anayedaiwa kushindwa kuongoza.
Wajumbe wa UVCCM wakiingia ukumbi wa hoteli ya Usambara kwa mabango na nyimbo za kumkataa mwenyekiti wao kabla ya kikao chao cha Baraza la Vijana Mkoa wa Morogoro.
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Herieth Sutta anayelalamikiwa na wanachama wake akidaiwa kushindwa kuwaongoza.
Kamanda wa UVCCM Taifa, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) akimsimika Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Pascal Kihanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Soka Mkoa wa Morogoro (MRFA).
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment