Risasi linaendelea kuwachimba wawili hao, mzigo ukikaa sawa, tutawajuza
STAA wa Shindano la Maisha Plus ambaye sasa ni muigizaji, Upendo Mushi ‘Pendo’ ameshindwa kuzuia hisia zake za kimapendo na kufunguka kuwa anampenda sana mwimbaji Kalala Junior.
Akitema stori mbili tatu na paparazi wetu katika msiba wa dairekta George Tyson baada ya kumuona Kalala kwa mbali, Pendo pasipo kufafanua kwa undani, alisema anampenda kuliko maelezo nyota huyo wa muziki wa dansi.


0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment