Saturday, June 21, 2014
Browse » Home »
matukio
» NGUZA VIKING NA MWANAE PAPII KOCHA WAMETUMBUIZA KWENYE MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY.
NGUZA VIKING NA MWANAE PAPII KOCHA WAMETUMBUIZA KWENYE MAADHIMISHO YA MAGEREZA DAY.
Msanii Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani,Wanamuziki hao walitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment