Mlinzi wa eneo la TFA akijaribu kumsaidia baada ya polisi kufika na kuamua kumwacha kutokana na ugonjwa wake wa pombe kutokuwa na daktari wa kutibu
Wasamaria wema wakimtazama meneja huyo chapombe akiwa amezima
Hapa idadi ya walinzi ikiendelea kuongezeka eneo la tukio mjini Iringa usiku huu
Ukisema ulevi noma wapo watakaosema ulevi ni sehemu ya kupoteza mawazo ila kwa tukio hilo kila mmoja anaweza ungana nami kuwa kweli ulevi noma hapa ni eneo na TFA mjini Iringa ambapo meneja huyu wa Club ya V.I.P akiwa amezima kwa kunywa pombe kupita kiasi
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment