Friday, June 13, 2014

Full Time Mexico 1-0 Cameroon, Peralta ndio amewafungia Mexico.

Ukiachilia mbali suala la ushabiki kwa kweli Cameroon wamecheza chini ya kiwango na hawakuwa na ushirikiano kabisa kiasi cha kuiruhusu Mexico dhaifu kuwafunga.

Katika Kundi lao Cameroon wamebakiza mechi 2 yaani dhidi ya Brazili na dhidi ya Croatia na kwa hali waliyoinyesha leo wanatia mashaka kama wataweza kushinda hata mechi moja.

Baadaye SAA 4 USIKU HUU MECHI KALI YA SPAIN VS NETHERLANDS


Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top