Leo tumeshuhudia Ureo yani Portugal ya Christiano Ronaldo ikipigwa goli 4 kwa 0.
Ushindi huu sio tu unatoa alarm ya vipigo atakavyotoa Ujerumani bali pia unatudhihirisha ujinga wetu wa kuamini vitu visivyo na utashi kama Ngamia aliyetabiri kuwa Ujerumani atafungwa na hali matokeo yameenda sivyo hivyo nakushaurini tuachane na kuamini mambo ya kutabiri mpira ni mchezo hivyo utakavyocheza ndio hatima ya matokea na sio mambo ya miujiza.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment