Saturday, June 7, 2014

Breaking news:: Takriban watu 30 wakiwemo watoto na wanawake wameuawa katika mapigano Mashariki mwa DRC.

 
Takriban watu 30 wakiwemo watoto na wanawake wameuawa katika mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.Yanaaminika kuwa mapigano ya kikabila.Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top