Friday, June 13, 2014

Baraza la waislamu nchini Rwanda limepiga marufuku muziki wa Taarabu kwenye makumbi ya starehe.

Baraza la waislamu nchini Rwanda limesimamisha shughuli za burudani za akina mama katika kumbi maalum wanapokutana kucheza na kutoa michango ya hali na mali kwa ajili ya vijana wanaojiandaa kufunga ndoa.
Viongozi hao wanasema akina mama wa kiislam wanakiuka sheria za dini kwa kucheza muziki wa taarabu kwa mbwembwe na mitindo isiyofaa.
Kutoka Kigali mwandishi wetu John Gakuba ametuma ripoti hii.


Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top