Monday, April 7, 2014

Wa tz wa nne watiwa mbaroni kwa kosa la kuwatumikisha mabinti kwa ngono China.


Baadhi ya mabinti wanaotumikishwa katika biashara hiyo ya ngono. WATANZANIA wanne wametiwa nguvuni jijini Macau nchini China kwa kuwatumikisha mabinti katika biashara haramu ya ngono. Chanzo: www.jestina-george.com

Video ya polisi wa china wakithibitisha hilo hii hapo chini.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top