Monday, April 7, 2014

Tazama picha za wasanii wa BONGO MOVIES walivyotembelea Kaburi la STEVEN KANUMBA Leo.

 STEVEN KANUMBA alikuwa kipenzi kikubwa kwa wapenzi wa filamu za bongo movies na alikufa kipindi yupo kwenye pick ya juu sana ndo maana bado kazi zake na busara zake hazijaondoka miongoni mwa wasanii hawa aliowai fanya nao Movie ndio wakaaamua leo kumuandalia KANUMBA DAY



Hapa ndipo alipolala Marehemu STEVEN KANUMBA.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top