Birdman bosi wa YMCMB amempa smile msanii mdogo mwenye umri wa miaka 20 kwa kumpa zawadi ya gari lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 1.9 aina ya Bugatti Veyron 16.4.
Justin Bieber hakusita ku-share furaha yake baada ya ku-post picha ya gari hilo jekundu kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika,”Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity”
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment