Friday, April 4, 2014

Picha za kusikitisha za mtoto aliyezaliwa huku moyo wake ukiwa nje.

 Picha hizi a kusikitisha zinaonyesha moyo wa mtoto huyo ambao upo nje ya kifua chake baada ya kuzaliwa na madaktari wameahidi kufanya kila linalowezekana ili kuweza kuurudisha ndani lakini wamekubali kuwa ni kazi ngumu na kwamba inahitaji utaalamu wa hali sana.


Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top