Monday, April 14, 2014

NJIA NZURI YA KUMGUNDUA MWANAMKE ANAYEJIFANYISHA KUFIKA KILELENI.


Je, inawezekana mwanaume akagundua kuwa mwanamke anayefanya naye tendo la ndoa hakufika kileleni bali anajifanya? Kama wewe ni mwanaume ambaye unajali iwapo mkeo amefika kileleni au anajifanya tu,

basi una nafasi kubwa ya kugundua uongo wake. Lakini iwapo wewe ni mwanaume ambae anajali raha yako peke yako(wanaume wengi wako hivyo) basi hutajali kama umefanikiwa kumfikisha kileleni au la.

 Kuna dalili nyingi ambazo zinaonyesha kuwa mwanamke bado hajafika kileleni. Kwanza ni muhimu kukumbuka kuwa kufika kileleni kwa mwanamke bado sio jambo mwili peke yake bali ni pamoja na hisia za nafsi yake.

 Vitu hivi viwili huenda pamoja. Hivyo uonapo kuwa mwanamke haonyeshi uchangamfu juu ya kipindi cha tendo la ndoa, au anajaribu kukuharakisha basi ujue kuwa upo uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo hatafika kileleni bali atajifanya tu.

 Jambo la pili la kuangalia ni mwanamke ambaye anadai kufika kieleni baada ya muda mfupi. Unakuwa umejiandaa kufanya mapenzi kwa muda mrefu lakini mara kama radi unasikia mwanamke anasema au kukuonyesha kuwa amefika kileleni.

Hapo fahamu kuwa upo uwezekano mkubwa kuwa umedanganywa. Vitu mbalimbali huonekana pale mwanamke anapofila kileleni. Wengine huwa wakimya sana na mawazo yao na nafsi zao zimezama katika wimbi la raha wanayoipata,

wanawake wengine hupiga kelele na kumshika mwanaume kwa nguvu sana kumbana au kutoa mlio fulani fulani. Chuchu za titi husimama,rangu ya ngozi hubadilika,kutokwa na jasho.

Usipoyaona baadhi ya mambo hayo, haswa kusimama kwa chuchu za titi basi kuna uwezekano mkubwa (asilimia 95) Mwanamke huyo hajafika kileleni.
 Wanawake wengi wafikapo kileleni hupumua kwa haraka haraka na uke wao utabana uume wako,mapaja yake utetemeka na hukunja mgongo wake na miguu pia.

Usipoyaona hayo upo uwezekano mkubwa hajafika kileleni japo anaweza kusema amefika. Mwanamke aliyefika kileleni kisimi chake(wengine huita kinembe)kinakuwa laini mno kiasi kwamba hataki aguswe na chochote katika kiungo hicho maarufu.

 Hivyo uonapo kuwa bado unaendelea kutwanga kiuno na haonyeshi dalili za kujisikia vibaya au kupunguza kasi yake au kusimama kabisa basi jua ya kuwa upo uwezekano umedanganywa.

 Njia nzuri ya kugundua kama ni kweli anaenda kileleni unapofanya naye tendo la ndoa ni kuacha ghafla katikati ya mambo.
 Utakapofanya hili ataonyesha hali ya kutofurahi hatua hiyo kama alikuwa anakaribia kileleni basi hakutakuwepo na tofauti yoyote kwake na hataonyesha hali ya kutofurahia kukatishwa kwa kitu ambacho hivyo kujifanya kwake kutakuwa dhahiri kwako.

Kufika kieleni katika tendo la ndoa kunahusisha utumiaji mkubwa wa nguvu za mwili, hivyo kama kasi yake ya kupumua haikubadilika sana basi atakuwa anakudanganya asemapo amefika kileleni, pili iwapo mwanamke ataweza kuinuka na kutoka kitandani na kwenda kufanya vitu vingine mara baada ya kusema au kuonyesha kuwa alifika kileleni atakuwa amekudanganya kwani kufika kileleni hutumia nguvu nyingi za mwili na uhitaji pumziko refu jidogo.

 Au uonapo mara baada ya kudai kufika kileleni anaanza maongezi ya kawaida, jua uongo umekuja kwani mara baada ya kufika kileleni mwanamke huwa anafikiria kitu kimoja- jinsi alivyofurahia na kuridhika na ubingwa wa mwanaume katika tendo hilo.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online