Hali imekuwa tete kwa timu kubwa zinazo amini kuwa huwa zinatolewa nusu fainali lakini safari hii wenda wakaenda katika robo fainali manake FC barcelona wamelazimishwa sare ya 1 -1 na Atletico wakati Man Utd wakimkomalia Buyern Munich kwa 1-1 pia.
Wafungaji:
Man Utd:N. Vidić (58),
Buyern: B. Schweinsteiger (66)
Atletico:Diego (56)
Habari zaidi tembelea angazio soka
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment