Sunday, April 6, 2014

Liverpool hawashikiki; Waahidi kumpiga Man City baada ya matokeo ya WEST HAM 1-2 LIVERPOOL.

 

S. Gerrard (Pen 44, Pen 71)
Penati mbili za Gerrad zimeisaidia liverpool kubaki kileleni mwa EPL wakijitapa kuwa wnaweza kunyakua ubingwa wa EPL msimu huu.
Mpira ulikuwa mgumu sana na baada ya  pili dakika ya 71 Liverpool walicheza kwa kujihami sana wakiomba mechi imalizike dua ambayo imesikika na mpira kumalizika kwa 2-1.

Kazi ni Mechi ijayo dhidi ya Man City ambapo atakayefungwa atakuwa na matumaini madogo sana ya kunyakua Ubingwa.

Vikosi:
LIVERPOOL XI: (4-3-3) Mignolet; Johnson, Sakho, Skrtel, Flanagan; Gerrard, Coutinho, Henderson; Sturridge, Suarez, Sterling.

WEST HAM XI: (4-2-3-1) Adrian; Demel, Tomkins, Reid, Armero; Noble, Taylor; Downing, Nolan, Diame; Carroll.

Msimamo ulivyo kwa sasa kwa top 10
Habari na matokeo ya ligi zote tembelea Angazio Soka
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top