Tuesday, April 8, 2014

kama kawaida yake Kim Kardashian aitikisa tena mitandao kwa mapicha yake akiwa Beach.


Kim Kardashian ziadi ya kuutumia muda wake wa mapumziko akiwa nchini Thailand pia alitumia muda huo kufanya photo shooting akiwa beach.
Japokuwa picha kamili zilizokuwa zinapigwa bado hazijatoka lakini hizi za behind the scene tayari zimevutia watu wengi na  zinaangaliwa  sana kupitia internet.







Kuziona alizojiachia kabisa bofya hapa
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top