Sunday, April 6, 2014

Huyu ndie mtoto wa miaka 8 mwenye uwezo wa hali ya juu wa kukemea Mapepo.



Binti wa miaka nane aitwaye Alani Santos kutoka mji wa San Gonzalo nchini Brazil ameendelea kukusanya mamia ya watu kutoka sehemu mbalimbali nchini kwake ambao hufika kanisani anakoabudu ambako baba yake ni mchungaji ili waombewe na binti huyo anayeaminika kuwa na nguvu za ajabu za kukemea mapepo na kuponya magonjwa akitumia jina la Yesu.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top