Mavazi pia huongeza mvuto kwa vijana kwani asikudanganye mtu tabia huchunguzwa baada ya sura na umbile.
Mdada huyu hapo chini anasema kwa aina hii ya uvaaji wake ameweza kupata wanaume hadi 10 kwa siku wakimtokea.
Kazi kwenu wadada kuiga au kukacha lakini kumbukeni UKIMWI UPO na unaua.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment