Tuesday, April 1, 2014

Angalia picha za mzee huyu mchoma nyama wa Night Club alivyokojolea wakati akijaribu kum bambia demu.

 Unaambiwa ukwasu ni noma ukizidi mambo humwagika hata hadharani ndivyo ilivyomtokea mzee huyu ambaye kazi yake ni kuchoma nyama katika night clabu moja jijini arusha sasa sh mmoja alimtania njoo unibambie kidogo mzee akaenda ndipo mambo yalipomwaribikia na kupata kicheko cha maana kutoka kwa mabinti walioambatana na mdada huyo.

 hapa akiwa hajielewi baada ya tukio hilo yaani caloose calories.
Hapa anatoroka huku mabinti wakimvuta kutaka awabambie tena.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top