Thursday, March 13, 2014

Vanessa Mdee atoa sababu za kutoshiriki kwenye show ya TV1.

 Kuna taarifa zilianza kupatikana kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kwamba msanii ambae pia ni mtangazaji wa 102.5 Choice FM Dar es salaam Vanessa Mdee ataonekana kwenye show mpya katika kituo cha Television cha TV1.


Vanessa  money anapenda kukufahamisha kwamba hatoonekana kwenye show hiyo, yani hajaichukua hiyo kazi kutokana na ratiba yake (V) kumbana kutokana na mipango yake ya sasa pia ya kusafiri kuendeleza muziki wake.

Imekua ngumu kwa sasa sababu ameamua kufocus zaidi kwenye muziki hivyo atashindwa pia kuhimili kuifanya hiyo kazi ambayo pia inaratiba kubwa ya shooting.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top