Friday, March 21, 2014

Ridhiwani ajiweka pazuri kushinda Ubunge Chalinze, baada ya kampeni kata ya Ubena Jana.

 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Visakazi, katika kata ya Ubena jana.
Wananchi wa kijiji cha Visakazi wakinyoosha mikono kuonyesha kumuuunga mkono Ridhiwani wakati wa mkutano huo.

 Mzee Hemedi Ali akiongoza kutumbuiza ngoma ya kumlaki Ridhiwani katika kijiji cha Mwidu kata ya Ubena.

 Ridhiwani akiwasalimia wapigakura alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Mwidu.


 Ridhiwani akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Ubena Zomozi alipokwenda kuhutubia mkutano wa kampeni.

 Sam wa Ukweli akitumbuiza Ubena Zomozi kwenye mkutano wa kampeni wa Ridhiwani.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top