Friday, March 28, 2014
Ona uchafu wanaofanya mabinti wa kibongo kwenye kumbi za starehe.
Kwa uvaaji wa namna hii
ni nani atakayepona.Wanawake wa siku hizi baadhi yao starehe yao kubwa
ni kutembea nusu uchi.Na hii ni chanzo cha kuporomoka kwa maadili ya
mtanzania pili na kuongezeka kwa maambukizo wa ugonjwa hatari wa
ukimwi,Uchunguzi wa blogi hii umekuwa ukishuhudia uvaaji wa namna hii nyakati za usiku katika kumbi mbalimbali za starehe hapa nchini hasa katika jiji la da.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment