Saturday, March 29, 2014

Ona mchungaji mzinifu wa kanisa moja kaunti ya Nyeri nchini kenya alivyobabwa na mke wa mtu.


Kizaazaa kilishuhudiwa mjini Karatina kaunti ya Nyeri, baada ya kasisi wa kanisa moja kufumaniwa peupe akiwa na mwanamke anayesemekana kuwa mke wa wenyewe ndani ya chumba cha malazi. Kasisi huyo alipatikana na umati wa watu, uliofika hapo

kushuhudia sinema ya bure. Inadaiwa mchungaji huyo alikuwa na tajriba ya kuendesha ibada yake sio kanisani tu, bali hata kwenye vyumba vya malazi.

 KUTAZAMA VIDEO lazima uwe na umri usioungua 20
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top