Wednesday, March 26, 2014
Linah afunguka kuwa anapenda wanaume waone mapaja yake.
Akizungumza na Global TV Online, Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo mizuri.
“Ukweli huwa nachizika na upaja wangu. Napenda sana miguu yangu, ni mizuri ndiyo maana nagonga vimini au mpasuo ili mguu wangu uonekane vizuri,” alisema Linah.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment