Mechi ya Machester Derdy ilimalizika kwa David moyes kukubali kipigo cha goli tatu kutoka kwa Pellegrin man.
Magoli ya Man city yakifungwa na E. Džeko (1, 56), Y. Touré (90).
Arsenal 2-2 Swansea city.
The gunners walijkuta wakitoa sare ya 2-2 na swan sea city uwanjani kwao na kuporeza kabisa
matumaini ya kuchukua ubingwa msimu huu.
L. Podolski (73), O. Giroud (74) waliifungia arsenal magoli wakati W. Bony (11), M. Flamini (OG 90) ni magoli ya Swansea city.
Matokeo zaidi ya michezo ya jana bonyeza hapa
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment