Sunday, March 23, 2014

Cheki hapa picha za matukio mbalimbali katika harusi ya Paul wa P Square na Anita Isama.


Baada ya pacha wake kufunga ndoa, hivi sasa ni zamu ya Paul Okoye ambaye amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Anita Isama.Paul na Anita wana mtoto wa kiume na harusi yao imehudhuriwa na watu kama Omotola,D Banj,Naeto C,Banky W,Ini Edo,Iyanya na wengine wengi.



















Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top