Vigogo
wa TBA, Makumba Kimweri (kulia) na Richard Maliyaga (kushoto) wakiwa
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar! (Picha na Maktaba).
VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard
Maliyaga walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa
kwenda jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni 15
kila mmoja na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,
Dar!Maofisa hao wa serikali kwa sasa wapo mahabusu kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo ndugu na jamaa wanaangaika kutafuta fedha za kuwalipia dhamana.
Jengo hilo lenye ghorofa 18 lililoko jijini Dar es Salaam.
Kesi ni jengo hili hapo chini
Kesi yao ni matumizi mabaya ya ofisi katika utoaji wa kibali cha ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu Dar es Salaam kwani.


0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment