Mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoa wa Morogoro Harriet Sutta akiwa na
katibu wake Nicodemas Tambo wakizungumiza juu matamko yanayotolewa na
baadhi ya viongozi mkoani hapa kinyume na
utaratibu.
Mimi nazungumzia juu ya uchaguzi tulionao mbele yetu katika wilaya ya
Gairo ludewa na Tungi Manispaa ya Morogoro, vijana washiriki kikamilifu
kufanya kampeni za amani na utulivi na sio vurugu.


0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment