
kiongozi huyo wa CHADEMA alipokuwa anawasili katika eneo la ukumbi huo kwenda kuchukua fomu hiyo ambayo kwa mujibu ya sheria za uchaguzi huo inatakiwa kurudishwa tarehe 18/02/2014 (kesho, Jumanne)

msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo la Kalenga; Bi. Pudensiana Kisaka alipokuwa anamkaribisha kiongozi huyo wa CHADEMA, Bi. Grace Tendega kuchukua fomu hiyo katika ukumbi huo.

Bi. Grace Tendega alipokuwa anakaribia kukabidhiwa fomu hiyo ya ugombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo hilo la Kalenga kupitia CHADEMA

Kiongozi huyo (Grace Tendega) alipokuwa katika ofisi ya CHADEMA wilaya ya Iringa katika eneo la Mshindo; alipokuwa akijibu maswali waandishi wa habari.
Na Riziki Mashaka.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment