Monday, February 10, 2014

Naibu Waziri wa Fedha, Mh Mwigulu Nchemba awakejeli CHADEMA baada ya kuangukia pua

Kupitia ukurasa wake wa facebook, Mh. Mwigulu amepost hivi;
 
Askari wa Miguu ndio wanaoteka Nchi askari wa anga hawana madhara ... poleni watani nyie angani sisi aridhini... Milioni mia Tisa,chopa tano angani, mwisho mnapata kata tatuVijana amkeni kemeeni matumizi mabaya ya fedha kwenye chama chenu
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top