Tuesday, February 11, 2014

Mhe.Lowassa alivyoshiriki msiba wa PATRICK QORRO leo.

 
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada Estate Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia Prof. Issa Shivji

 
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo hii..Na Father Kidevu Blog
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top