Baada ya raikisho la soka ulimwenguni Sepp Blatter kumtangaza CR7 kuwa ndiye mshindi sh wa Mesii alikuwa katika wakati mgum kwani hakuamini machoni mwake kuwa hayo yametokea yaani mpenziwe kukosa tuzo hizo ambaye yy binafsi alidhani kuwa Lionel Messi angeshindinda tuzo hiyo ya Ballon d'Or.
Hata ronaldo mwenyewe pindi anaenda pokea tuzo hiyo machozi yalimjaa machoni sijui ni kwa vile aliona miujiza au ni nn lakini ukweli ni kwamba majeraha ya Messi ndo yamefanya CR7 kunyakua tuzo hiyo kwani upinzani aliotegemea ni kutoka kwa Messi na sio Ribbery.
Picha nyingine na video hizi hapa.
Picha zingine :
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment