Huyu ndie kahaba mwenyewe anaitwa Zahia Dehar
Wachezaji
wawili yaani Franck Ribery wa Bayern Munich na Karim Benzema wa Real
Madrid wapo katika mahaka jijini Paris leo wakikabiliwa na shitaka la
kufanya mapenzi na kahaba ambaye alikuwa na miaka 16 ambalo ni kosa la
jinau kufanya mapenzi na mtu asiyetimiza miaka 18 hapo 2009.Ribery anashitakiwa kwa kufahamu fika Zahia Dehar alikuwa chini ya miaka 18 mwaka 2009, alipomchukua hadi Munich kulala nae. Amekataa tuhuma hizo.
Benzema anashitakiwa kwa kumlipa Dehar wakafanye ngono katika Paris hotel wakati akiwa na umri wa miaka 16. Amekataa kwamba hajawahi kufanya mapenzi na msichana huyo.
Wakikutwa na hatia wanatakiwa kwenda jela kwa miaka 3, lakini wakili wa Ribery's, Carlo Alberto Brusa, amesema kuwa hana shaka kuwa mteja wake hatakutwa na hatia yoyote.
"Mr Ribery is a mature person who has faced difficult times. He is as concerned as anyone who finds himself in the criminal justice system, but at the same time calm," Alisema.
Ribery na Benzema wanatarajiwa kuiwakilisha France katika World Cup Brazil.
Kwa habari za michezo tembelea Anga Zetu



0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment