“Wee unaniona hapa me najiona mbaaaaali”
akiashilia kuwa mwenye furaha na amani tele.
Kilichofanya nizilete hapa ni likes na comments za ‘Followers’ wake ambao kwa kwa muda wa chini ya nusu saa picha (hiyo aliotupa mgongo) ilipata “Likes” zaidi ya elfu tatu na Comments zaidi ya mia tano. watu wakimsifia kwa umbo na mvuto alionao na hasa vidume wengi wakionyesha kupagawa zaidi na uumbaji huu.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment