Sunday, October 5, 2014

PICHA ZA KIBAKA ALIYECHOMWA MOTO MAENEO YA TABATA-KIMANGA, DAR.


Mwili wa wa kijana anayedaiwa kuwa kibaka aliyenaswa kwenye nyumba ya mtu ukiwa umeteketea kwa moto.Wananchi waliokuwa eneo la tukio wakishuhudia kwa karibu tukio hilo.

KIJANA mmoja (jina halikufahamika) anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto baada ya kukamatwa jana maeneo ya Tabata-Kimanga jijini Dar es Salaam akiwa nyumbani kwa mtu. Kijana huyo alichomwa moto na wananchi wenye hasira kali dhidi ya wahalifu wa aina hiyo.

Photos From Vera Sidika’s Birthday Party:This girl is Rich.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top