Monday, October 13, 2014

PAPA MSOFE, MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE.

Papa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu. (Picha na maktaba yetu)

MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa ni upelelezi kusubiriwa ukamilike.

Kesi ya watuhumiwa hao wawili imetajwa leo na mwendesha mashitaka wa serikali, Hellen Moshi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Liwa.

Msofe na Makongoro wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya bwana Onesphory Kitoli.

Kesi hiyo imeahirishwa mpaka Oktaba 27, mwaka huu itakapotajwa tena.

Annie Idibia brings village life to the city.


Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top