
Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘King Majuto’ akipokea busu tata kutoka kwa msanii wa filamu Sabrina Omary ‘Sabby Angel’.
Akizungumza na paparazi wetu mara baada ya kukutwa maeneo ya Sinza jijini Dar na kupigwa picha hizo, Sabby alisema walikutana ghafla na Majuto, wakafurahi na kujikuta wanabusiana lakini hawakumaanisha mapenzi.‘King Majuto’ naye akirejesha busu kwa ‘Sabby Angel’

“Jamani busu la mzee Majuto nimelipenda sana si unajua mwenyewe anavyochekesha sasa pata picha anakupiga busu, binafsi nampenda sana mzee Majuto, nikionana naye kama hivi ananipa raha sana,” alisema Sabby Angel.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment