Sunday, October 19, 2014

Kajala awafungia Kazi watu wanaompangia jinsi ya kumlea mwanae, hili ndo kubwa alilolisema.


nawashangaa sana watu wengine mnajifanya mnajua sana kuongea kuhusu mambo yasiyo wahusu kuna mzazi yoyote anataka mwanae apotee ache mambo ya kishamba unataka mtoto avae dira kwani yeye mtu mzima kama unaona namlea mtoto wangu vibaya niachie mwenyewe zaa wa kwako mlee vizuri,Hayo ni maneno ya mwanadada Kajala aliyoyasema leo baada ya fans wake mbalimbali kuanza “kumponda” kuwa anamlea mtoto wake “ndivyo sivyo” hususani suala kumvalisha mtoto wake vinguo vya “wadada wa mjini”

Kajala ambaye mara nyingi anaonekana akiweka picha mbalimbali za mwanaye huyo aitwaye Paula akiwa kwenye mapozi tofauti alizidi kusisitiza kuwa mtoto huyo ni wake na ambaye hapendi anachofanya basi atafute wake.

Kauli yake hiyo ilipokewa kwa hisia tofauti na mashabiki wake ambao baadhi yao walisema yafuatayo kumsapoti….

“…tena wakukome ma sis wanajua uchungu wako ulioubeba au au wanajua umemkuzaje mpaka kufika … nyamafu hao wakosa akili wana low life yamaisha they av got nothing better to do Wa africa uwa tunamatatizo dunia nzima mtoto wa mwenzio anakuhusu nini ukse umuongelee kweli Education kitu kuzuri ukisoma unafikilia utaongelea kiumbe we kazi. Acheni ujinga na utumwa business za wenzenu zinakuwa zenu.. thats ma bby paullet right there and am proud she is a grown gal hun.. kay ma mdogo never give a Fuck life is unbilivable!!!! Family first…”

Na wengine walizidi kukazia kuwa abadilike kwani hiyo sio sawa kwa kusema…

“Umeambiwa kistaarabu tu hako nguo ckazur kwa umri wake ukizingatia unamtoto mrembo hebu uwe unamvalisha vzr sio nguo zakumfanya wanaume waanze kumtaman…

PICHA ZA BINTI ALIYELIWA KA.....BANG BAADA YA KUKOLEZESHWA POMBE.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top