Friday, September 5, 2014

PICHA MBALIMBALI ZA AJALI ILIYOTOKEA LEO MUSOMA NA KUUA TAKRIBANI WATU 45.

Takribani watu zaidi ya 45 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya magari mawili ya abiria kugongana uso kwa uso katika eneo la Sabasaba Musoma, mkoani Mara
Ajali hiyo imelihusisha basi la MWANZA COACH T736 AWJ lililogongana na gari lingine la J.4 Express T677 CYC.
Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa iliyopo Musoma mjini.

R.I.P All na poleni sana wote mliofikwa na msiba huo




Gari hili lilisukumwa na basi wakati wa ajali na kudumbukia mtoni.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

TAARIFA KWA KINA BADAE.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top