Wednesday, September 10, 2014

NEWS; BASI LA SUPER FEO LINALOSAFIRI KATI YA SONGEA NA MBEYA LAPATA AJALI NA KUUA.

 
Basi la la kampuni ya Super Feo linalofanya safari zake Songea- Mbeya limepata ajali mchana huu maeneo ya Shule ya Tanga kilomita chache kutoka katikati ya manispaaa ya Songea. 

Taarifa za awali zinaarifu watu wawili wamepoteza maisha na idadi ya kamili ya majeruhi bado haijajulikana ila ni zaidi ya 20 Endelea kufuatilia blog hii kwa updates zaidi na picha za ajali hiyo...!
 Hapa ni stend kuu ya mkoa wa Ruvuma na hii ndiyo gali iliyopata ajali na hapa likiwa  stendi kabla ya kuanza safari yake(Picha zote na demasho.com)
 Mmoja ya majeluhi
 

 Basi lililopata ajali

 Waliolala ni baadhi ya waliokuwa kati ya wasafiri ambao inasadikiwa kupoteza maisha katika ajali


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

TAHADHARI KWA MADEREVA::  KWA STAILI HII AJALI HAZITOISHA


PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top