
Pichani ni msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ katika pozi tofauti.
AIBU! Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ aliyewahi kuripotiwa kujiachia kimalovee na mwanamuziki Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ametia aibu kubwa baada ya picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni.

Msanii wa Bongo Fleva Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego' akipozi na 'Bozi'.
Kama Ulipitwa na HII ya Njemba Kunaswa na Denti wa kiume GESTI.
“Mungu wangu sijui nitaweka wapi sura yangu, nilishtuka sana baada ya kuona picha hizo ni aibu kubwa kwangu, nashindwa hata kuelewa zimesambaa vipi maana hizi picha alikuwa nazo Nay, nilimtumia kabla hatujaachana sasa hata yeye namuuliza anasema eti hajazisambaza,” alisema msanii huyo huku akiomba habari hiyo isitolewe gazetini.KUZIONA PICHA ZAKE ALIZO MTUPU KABISA BOFYA PICHA HAPO CHINI
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment