Thursday, September 4, 2014

JOHARI: BADO NIPO NIPO SANA.

MKONGWE kwenye kilinge cha sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amewataka mashabiki wake wajue kwamba, muda ukifika wa kupata mume wa kufunga naye ndoa, atafanya hivyo lakini kwa sasa anatoa kipaumbele kwenye kazi tu.

Mkongwe kwenye kilinge cha sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’.

Akizungumza na Amani, Johari ambaye umri wake upo juu ya miaka 30, alisema watu wengi wanafikiri kuwa ndoa ndiyo kila kitu katika maisha lakini kwa upande wake bado hajaifikiria.

“Kitu ambacho nakiamini mimi ni kwamba ndoa kama nimepangiwa na Mungu ipo na itaendelea kuwepo haijalishi hata kama nitafikisha miaka hamsini,” alisema  Johari.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

PACHA WA KANUMBA HUYU HAPA; KWELI WAMEFANANA YAANI NI KAMA KWELI VILE.
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top